Saratani ya tezi dume(prostate cancer) ugonjwa hatari zaidi kwa wanaume usiochukuliwa hatua zaidi

Doctor MD

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
248
Reaction score
308
Saratani ya tezi dume ni ugonjwa ambao huwakumba wanaume wenye umri zaidi ya miaka 50. Japo Kuna baadhi ya wagonjwa huwa chini ya umri huo(nadra). Na hii ndio saratani inayoongoza kwa kuwakumba wanaume wengi. Ugonjwa huu huu huchanganywa sana kwa upande wa dalili na matibabu na ugonjwa wa kuongezeka kwa tezi dume(Benign prostate hyperplasia). Saratani ya tezi dume huwakumba wengi kiasi kwamba inafikia hatua wengi huusisha na uzee.
Zifahami dalili za tezi dume
1. Kupata mkojo kwa shida ikiwemo kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku, mkojo kutosha, kujikojolea wakati kabla ya kufika chooni
2. Maumivu makali ya mifupa ya miguu, chini ya mgongo
3. Ganzi ya miguu na miguu kukosa nguvu na hii yaweza pelekea kushindwa kutembea

Dalili zingine zinaweza kuwa damu wakati wa kukojoa, maumivu makali wakati wa kumwaga mbegu( ejaculation)

Ikiwa unapata dalili mojawapo hapo juu basi wewe waweza kuwa mhisiwa wa saratani ya tezi dume

Saratani ya tezi dume hutibika ikiwa ipo hatua za awali kabila(early stage) japo ukiwa hatua kubwa(advanced stage) huwa ni matibabu yake ni kuifanya zaidi isisambae na kuongeza ubora wa maisha ikiwemo kumfanya mtu atembee n.k
Vipimo vya awali vinaweza toa picha ya kwamba mtu ni mhisiwa wa saratani ya tezi dume ila kipimo Cha kutolewa kinyama na kupima ndio kipimo pekee Cha kuthibitisha saratani ya tezi dume.

Hivyo basi kwa mwanaume yoyote akiwa ana hizo dalili afike hospital kwa ajili ya uchunguzi ila akiwa na umri zaidi ya miaka 50 afike hospital kila mwaka kwa ajili uchunguzi wa saratani ya tezi dume( medical checkup)

Karibu kwa ushauri wa daktari
0757160773
 
Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 15
Dactari hujasema saratan ya tezi dume inasababishwa na nn
Hakuna sababu ya moja kwa moja inayosababisha saratani ila saratani ya tezi dume huwakumba zaidi watu wenye umri wa miaka zaidi ya 50, watu wenye rangi nyeusi zaidi, watu wenye vina Saba ambao mzazi wake wa kiume aliwahi kuugua(hii changamoto ni kwamba wengi hufa bila kujua) hata pia lifestyle inachangia zaidi
 
Back
Top Bottom