Supplements gani naweza kutumia ili kukabiliana na hii hali ya kupoteza misuli?karibu sana boss, kama una swali zaidi uliza tu
kwa sababu alikua anafanya kazi ngumu ujanani, ukiwa mtu wa kushuhulisha mwili sana uzee wako unakua kama umepaka rangi tu nywele ila vitu vingi vinaendelea kawaida, however hii ni kama ilikua daily activity yako, kama wewe ni leo zoezi wiki ijayo tena hali yako ni mbaya sana mbelenBabu yangu hazingatii lolote Kati ya hivyo zaidi ya mtungi bandika bandua hakuna sarkodie Wala sakopenya
Chuma iko kilabuni daily na inakimbilia 95.
yes na sio kwa mzee tu, mara nyingi ukishafika 35 kwenda mbele kama haukua na mazoezi unaanza kupoteza misuli mbelen kabisa ndo utakua unatembea kwa kubebwaAsante kwa elimu, kumbe kuna kupoteza misuli, ndio maana wzee wengi wakistaafu kuanguka au kuvunjika miguu ni kawaida sana hasa hawa wa maofisini.
Kuna mama mmoja juzi alikua anaingia duka fulani,yaani kunyanyua mguu kutoka chini kukanyaga ngazi fupi ya kupandia dukani ilikuwa kazi, Na wala hana umri mkubwa kivike japo ni mstaafu.
Kwahio misuli ikipotea naweza kurudisha kwa mazoezi ikarudi vizuri?yes na sio kwa mzee tu, mara nyingi ukishafika 35 kwenda mbele kama haukua na mazoezi unaanza kupoteza misuli mbelen kabisa ndo utakua unatembea kwa kubebwa
Tuchukulie mfano mtu ana miaka 50 misuli imepoteauna umri gan saahv
kwa uko sasa ni too late, inatakiwa mazoezi ya kuanzia miaka 20 kwenda 30 pale ili mbelen sasa ule penshen au ule matunda ya mazoezi yako, mbelen hautakiwi kupiga mazoezi sana unapiga kidogo tuTuchukulie mfano mtu ana miaka 50 misuli imepotea