Sare mpya ya CHADEMA yatikisa nchi, wananchi waisaka kila kona bila mafanikio

Wamependeza kamawakombele zilezakijanizinachefua kweri
 
Juzi mumewapa masharti viongozi wote wa ngazi zote wanunue sare bila hata kuwaandaa ziliko.. kwa Nini wasizisake?

Wapelekeeni wakanunue sio mnaamusha purukushani afu munakuja huku eti wananchi wazisaka kila Kona. Haaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…