Kwa hiyo hao wazee ndio wanacheza mpira ?
Au wanategemea kuroga ?
Hii miaka mitatu Simba sc, haijachukua ubingwa kwa sababu moja tu kubwa ambayo.
Kuwa Manji aliwekeza sana ktk timu ya Yanga.
Yanga ilikuwa na wachezaji wa ghalama na bora kuliko timu zote.
Chirwa peke yake alisajiriwa kwa milioni 200 na mshahara wake ni milioni 10 kwa mwezi.
Ukijumlisha na ghalama za akina Ngoma, Kamusoko, Bossou, Niyonzima, mkataumeme, Tambwe.
Utaona hao wachezaji saba wanafikia karibu thamani ya wachezaji wote wa
Simba sc.
Mpira ni pesa na sio mikwala ya uchawi na urozi.
Yanga walikuwa vizuri kipindi cha Manji na ilikuwa haki yao kunyakuwa ubingwa mara tatu mfululizo.
Hao wazee hawajui wanalolifanya bado wanawaza kuwa mafanikio ya timu yanatokana na uchawi.
Elimu ni ufunguo wa maisha.