SARE SARE MAUA KURUDI TENA

SARE SARE MAUA KURUDI TENA

bway hermit

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
1,337
Reaction score
2,339
Wazee wa simba sports club wamesema Kama hawatosikilizwa Na kuendelea kudharauliwa basi washabiki mjiandae kusahau tena kuhusu ubingwa wa ligi kuu.

Una maoni gani mdau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja wazee wa ..
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images.jpg
waje muendelee na mjadara wenu kwa kweli maana hakuna namna sasa.
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images.jpg
 
Kwa hiyo hao wazee ndio wanacheza mpira ?
Au wanategemea kuroga ?

Hii miaka mitatu Simba sc, haijachukua ubingwa kwa sababu moja tu kubwa ambayo.
Kuwa Manji aliwekeza sana ktk timu ya Yanga.
Yanga ilikuwa na wachezaji wa ghalama na bora kuliko timu zote.
Chirwa peke yake alisajiriwa kwa milioni 200 na mshahara wake ni milioni 10 kwa mwezi.
Ukijumlisha na ghalama za akina Ngoma, Kamusoko, Bossou, Niyonzima, mkataumeme, Tambwe.
Utaona hao wachezaji saba wanafikia karibu thamani ya wachezaji wote wa
Simba sc.

Mpira ni pesa na sio mikwala ya uchawi na urozi.

Yanga walikuwa vizuri kipindi cha Manji na ilikuwa haki yao kunyakuwa ubingwa mara tatu mfululizo.
Hao wazee hawajui wanalolifanya bado wanawaza kuwa mafanikio ya timu yanatokana na uchawi.

Elimu ni ufunguo wa maisha.
 
Back
Top Bottom