Sare ya Simba leo lawama kwa Serikali

Sare ya Simba leo lawama kwa Serikali

Kwahyo namba ya kagere alipangwa serikali? Kwani ni kagere na chama hawakucheza leo?
 
1064577
Mikia buana
 
Wana kiwewe cha kuibiwa pointi 10.Hujamsikia kocha akilalama kwamba wameibiwa. Sijui kama wameripoti polisi. Kuibiwa pointi tena 10 lazima uweweseke .
 
Hivi Chura Churani ndo mmeshaingia kwenye mpango wa TASAF?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wamekutana kwenye kitchen party hakuna kilichochangwa.Wachovu watupu. Wamekutana kuizungumzia Simba. Wanateseka wengi
 
Watu "expect unexpected" Mnyama si mara ya kwanza kufanya mauji ugenini. Nyie nyote mpira mkubwa umepigwa pale taifa jana,
 
Kamati gani hizo au bado mna mawazo ya kishirikina ndio maana mpira wa Tanzania haukui. Mnacheza mkitegemea "External Force" ambayo, kimsingi haipo, mkija kushtuka mmeshapigwa. Very hopeless.
 
Back
Top Bottom