kambale mnene
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 271
- 197
Kwamba haji anauchungu sana na utopolo? Izo ni story za vijiwen tuWajuzi hebu mje kama mnajua lolote kuhusu hilo.
Inasemekana kuna wachezaji watatu akiwemo mwamnyeto walihongwa na karia ili yanga ifungwe ktk ile mechi.
Habari zilivuja na kunfikia Haji,ikawa ndiyo chanzo cha ugomvi na patashika pale jukwaani iliyopekea Haji kufungiwa.
WAKONGWE HILI LIKOJE?
Hizi tetesi umezisikia lini?Wajuzi hebu mje kama mnajua lolote kuhusu hilo.
Inasemekana kuna wachezaji watatu akiwemo mwamnyeto walihongwa na karia ili yanga ifungwe ktk ile mechi.
Habari zilivuja na kunfikia Haji,ikawa ndiyo chanzo cha ugomvi na patashika pale jukwaani iliyopekea Haji kufungiwa.
WAKONGWE HILI LIKOJE?
Jibu,usilete majibu ya pombeKwamba haji anauchungu sana na utopolo? Izo ni story za vijiwen tu
Umesoma vizuri au umetoka kukatwa sunga?Yaani Yanga itoke kwenye kushutumiwa kuhonga timu pinzani na mashabiki wa mbumbumbu fc, mpaka kuhongwa na timu ndogo na inayoikamia Yanga mara zote kama Coastal Union!! Hauko kabisa serious.
Hakuna cha jibu hapo hizo ni story tu za kusadikika ,usilazimishe kupata jibu tofauti na story za kwenye vijiwe vya kahawaJibu,usilete majibu ya pombe
Wajuzi hebu mje kama mnajua lolote kuhusu hilo.
Inasemekana kuna wachezaji watatu akiwemo mwamnyeto walihongwa na karia ili yanga ifungwe ktk ile mechi.
Habari zilivuja na kunfikia Haji,ikawa ndiyo chanzo cha ugomvi na patashika pale jukwaani iliyopekea Haji kufungiwa.
WAKONGWE HILI LIKOJE?
Haijalishi! Bado huyo Karia hana hela za kumhonga mchezaji wa Yanga! Kiufupi timu ilifanya makosa ya kiufundi kwenye eneo lake la ulinzi. Mwamnyeto alihusika, Kibwana Shomari alifanya makosa! Na mlinda mlango naye alifanya makosa kwa nafasi yake! Hivyo kumhukumu Mwanyeto peke yake, ni kumuonea! Ingawa amekuwa na changamoto ya kujisahau awapo uwanjani.Umesoma vizuri au umetoka kukatwa sunga?
Tumia akili kidogo tuWajuzi hebu mje kama mnajua lolote kuhusu hilo.
Inasemekana kuna wachezaji watatu akiwemo mwamnyeto walihongwa na karia ili yanga ifungwe ktk ile mechi.
Habari zilivuja na kunfikia Haji,ikawa ndiyo chanzo cha ugomvi na patashika pale jukwaani iliyopekea Haji kufungiwa.
WAKONGWE HILI LIKOJE?
Wajuzi hebu mje kama mnajua lolote kuhusu hilo.
Inasemekana kuna wachezaji watatu akiwemo Mwamnyeto walihongwa na Karia ili Yanga ifungwe katika ile mechi. Habari zilivuja na kumfikia Haji, ikawa ndiyo chanzo cha ugomvi na patashika pale jukwaani iliyopekea Haji kufungiwa.
Wakongwe hili likoje?