kambale mnene
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 271
- 197
Wajuzi hebu mje kama mnajua lolote kuhusu hilo.
Inasemekana kuna wachezaji watatu akiwemo Mwamnyeto walihongwa na Karia ili Yanga ifungwe katika ile mechi. Habari zilivuja na kumfikia Haji, ikawa ndiyo chanzo cha ugomvi na patashika pale jukwaani iliyopekea Haji kufungiwa.
Wakongwe hili likoje?