Sare ya Yanga SC dhidi ya Ruvu Shooting FC ya Juzi ndiyo Kipimo tosha cha kama Wasipohonga huwa wanakuwaje

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake.

Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada ya kuponea Tundu la Sindano nasikia Utamaduni wetu utaendelea kuanzia Mechi na Prisons FC pamoja na zingine Sita ( 6 ) ambazo zitabakia.

Kazi ipo......!!!!!!
 
Nakumbuka hata fc Barcelona ya wakati huo ikiwa na messi ilitazamwa hivi hivi nabaadhi ya watu eti tu kwa sababu ya kushinda mara kwa mara!
 
Yanga isiyo ya mchongo haiwezi kupata shots on target hata Moja.
JamiiForums1104145917.jpg
 
Yanga halisi inapatikana kwenye 0.5FM
Huko utaikuta ikipigwa nje ndani na Rivers utd.
Huko utaikuta ikitafunwa na kapumbu bila huruma.
Huko utaikuta ikitafuta huruma kutoka kwa wahanga wa vita wa Somalia
 
Tarehe 30 mliishangilia sare na shujaaa wenu akawa Enonga leo mnajitoa ufahamu
 
Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake.

Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada ya kuponea Tundu la Sindano nasikia Utamaduni wetu utaendelea kuanzia Mechi na Prisons FC pamoja na zingine Sita ( 6 ) ambazo zitabakia.

Kazi ipo......!!!!!!
Na MAKOLO FC iliyotoka sare na Namungo nayo ndo kiwango chake isipohonga??
 
Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake.

Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada ya kuponea Tundu la Sindano nasikia Utamaduni wetu utaendelea kuanzia Mechi na Prisons FC pamoja na zingine Sita ( 6 ) ambazo zitabakia.

Kazi ipo......!!!!!!
Kwa hesabu hii maana yake Uto atacheza mechi 29.
 
Weka ushahidi wa rushwa waliyofanya ktk mechi zilizopita. Otherwise ni ujinga kuanzisha mada za uchechezi

Back
Top Bottom