MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Yanga isiyo ya mchongo haiwezi kupata shots on target hata Moja.Nakumbuka hata fc Barcelona ya wakati huo ikiwa na messi ilitazamwa hivi hivi nabaadhi ya watu eti tu kwa sababu ya kushinda mara kwa mara!
Mwaka huu mtaongea mengiAlmanusra wapapaswe!
Na MAKOLO FC iliyotoka sare na Namungo nayo ndo kiwango chake isipohonga??Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake.
Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada ya kuponea Tundu la Sindano nasikia Utamaduni wetu utaendelea kuanzia Mechi na Prisons FC pamoja na zingine Sita ( 6 ) ambazo zitabakia.
Kazi ipo......!!!!!!
Na MAKOLO FC iliyotoka sare na Namungo nayo ndo kiwango chake isipohonga??
Kwa hesabu hii maana yake Uto atacheza mechi 29.Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake.
Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada ya kuponea Tundu la Sindano nasikia Utamaduni wetu utaendelea kuanzia Mechi na Prisons FC pamoja na zingine Sita ( 6 ) ambazo zitabakia.
Kazi ipo......!!!!!!
Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake.