PAZIA 3 JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 1,102 Reaction score 1,919 Aug 28, 2024 #1 Habari za Leo wanaJF. Naomba mwenye kujua asili ya utamaduni wa wahitimu elimu ya juu ( degree, masters na PHD)siku ya mahafali kuvaa na kurusha juu kofia zao. Najua watu wengi hawajui, tutumie platform hii kuwajuza. Karibuni sana Attachments download (40).jpeg 4.5 KB · Views: 4
Habari za Leo wanaJF. Naomba mwenye kujua asili ya utamaduni wa wahitimu elimu ya juu ( degree, masters na PHD)siku ya mahafali kuvaa na kurusha juu kofia zao. Najua watu wengi hawajui, tutumie platform hii kuwajuza. Karibuni sana