Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Star wa hiphop kutokea nchini #Ghana Sarkodie amesitisha kuachia album yake No Pressure iliyokuwa itoke julai, 9, 2021.
Nyota huyu ametumia ukurasa wake wa instagram kuomba radhi kufuatia taarifa hiyo na kutoa tarehe rasmi ya kuachia album yake hiyo ambayo ni julai, 30, 2021.
Hata hivyo katika taarifa yake hiyo #Sarkodie hakuwaacha hivi hivi mashabiki wake, kwani amewaahidi kuwapa ngoma mpya siku ya ijumaa hii tarehe 9 .