Sarri atapuyanga mapema sana pale Juventus

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2,109
Reaction score
5,284
Aman itamalaki

Mpira pale juventus wataupiga mwingi sana lakini wataisoma number

Nimemaliza

Huyu mrumi sarri atapuyanga mapema sana na atafukuzwa mapema sana

Mayala B
 
Duh si kakupa kikombe mkuu

Alitaka kuua kiwango cha mkata umeme wetu Ngolo Kante ili tu mchezaji wake aliyemleta darajani Joghino aweze kushine. Huyo jamaa hana tofauti na Mwinyi Zahera na yule Kindoki wake.
 
Kila kocha anamtizamo ktk kpanga mchezaji ktk nafasi anayo ona inamfaa, na sio kutumia kisingizio cha kuuwa kiwango cha mchezaji husika.
Alitaka kuua kiwango cha mkata umeme wetu Ngolo Kante ili tu mchezaji wake aliyemleta darajani Joghino aweze kushine. Huyo jamaa hana tofauti na Mwinyi Zahera na yule Kindoki wake.
 
Labda umemsahau huyu Sarri alipokuwa Napoli

Msimu wake wa mwisho pale Napoli walikuwa wanafukuzana na Juve kuchukua ubingwa mwishoni mwishoni gap lilikuwa halifiki point tano kama sikosei halafu mechi ya Napoli na Juventus iko mwishoni mwishoni huyu Sarri alimtandika Juve 1-0 na Juventus kama sikosei alikuwa nyumbani, sema sikumbuki alikwamia wapi kutochukua Ubingwa msimu ule
 
Anaweza kufanikiwa kwasababu Italy hakuna upinzani sana,juventus ndiyo Baba yao
 
Mashabiki wengi wa Chelsea wamefurahi cos hakumtendea haki kante kumpanga position ambayo sio yake lakini pia kitendo chake Cha kutokuwa na plan b hiv ndivyo vimemcost

Hivi kwani hao wapenzi wanachotaka ni mafanikio au kante apangwe nafasi yake? mbona huko ni kumuingilia kocha kwenye kazi yake?
 
Mimi ni shabiki wa Chelsea ila tunafeli sana kwenye kubadili makocha bila mpango,Sasa Arsenal na Man U waliotepeta kabisa mbona hawajabadili makocha!
 
Sarri kaipatia ndoo la Ueropa Chelsea, kashika nambari 3 EPL (champions league spot), na kacheza fainali ya Carabao cup. Despite team kucheza vibaya kwa maoni ya mashabiki wengi, haya bado ni mafanikio makubwa. Kafanya jambo jema mno kuondoka on his own terms badala ya kusubiri afukuzwe kwa aibu maana sometimes hata huelewi Roman Abramovich anataka nini hasa.

Chelsea watafanya kosa kufanya majaribio ya kumpa team Lampard. Kama ni trials, ni bora kujaribu kwa Nuno Espirito Santo. Yule jamaa ni jasiri na keshakuwa tested kwenye league na Chelsea alichezea kichapo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…