Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wengi wa Chelsea wamefurahi cos hakumtendea haki kante kumpanga position ambayo sio yake lakini pia kitendo chake Cha kutokuwa na plan b hiv ndivyo vimemcostDuh si kakupa kikombe mkuu
Duh si kakupa kikombe mkuu
Alitaka kuua kiwango cha mkata umeme wetu Ngolo Kante ili tu mchezaji wake aliyemleta darajani Joghino aweze kushine. Huyo jamaa hana tofauti na Mwinyi Zahera na yule Kindoki wake.
Kila kocha anamtizamo ktk kpanga mchezaji ktk nafasi anayo ona inamfaa, na sio kutumia kisingizio cha kuuwa kiwango cha mchezaji husika.
Mashabiki wengi wa Chelsea wamefurahi cos hakumtendea haki kante kumpanga position ambayo sio yake lakini pia kitendo chake Cha kutokuwa na plan b hiv ndivyo vimemcost
Kuna pjanicJorginho lazma amfuate babake Juventus
Kwani Chelsea si alikuwepo Kante.Kuna pjanic