Sarri atapuyanga mapema sana pale Juventus

Bro Chelsea sio arsenal Wala man u Chelsea Ni timu inaweza kuwa na kocha yoyote ikapata mafanikio ilhali tu aijue Chelsea mfano Di matteo alichokuwa uefa bila kuwa na experience yoyote ya ukocha kitu ambacho kinawasaidia Chelsea inawachezaji wengi ambao wameshinda vikombe hi ndio sababu hata sari akachukua kombe lake la kwanza.Lampard Ni mtu anaijua vizuri Chelsea lkn pia bado Chelsea inawachezaji Bora na wenye mafanikio makubwa mfano Luiz,elzipicueta,willian,Pedro,kepa,ludiger,kante ukichanganya na vijana ambao wanakuja juu kwa Sasa km odoi+pulisic+mount+zouma+Christen+lotfus cheeck utanapata timu nzuri lampard anashindwa Sasa? Nafikiri kitu kilichomuondoa sari Ni kutompanga kipenzi Cha wanachelsea ngolo kante kwenye nafasi yake pendwa
 
Lampard Ni mtu anaijua vizuri Chelsea lkn pia bado Chelsea inawachezaji Bora na wenye mafanikio makubwa
Kuijua team pekee sio kigezo cha kumpa team mtu. Japo kuna waliobahatisha (Zidane, Pep), wapo pia waliochemsha (Santiago, Ole, Gatusso).Na hata hao wengine hawakubahatisha as such. Ni tacticians wazuri sana. Having said that, Lampard apewe team kwa vipimo vingine na sio eti kwa kuwa anaijua team lakini bado hii itakuwa ni kama kamari tu
 
Inawezekana asiwe nazo.

Lakini Sarri huwa anapenda kumtumia Jorginho kama deeplying midfielder katika mfumo wake wa Sarri-ball.
Upo sahihi mkuu.... Kwa Chelsea wakat sarri anakuja hakukuwa na mchezaj wa type ya jorginho... But incase of juve there is pjanic who plays same position as jorginho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…