Sarri atapuyanga mapema sana pale Juventus

Sarri atapuyanga mapema sana pale Juventus

Sarri kaipatia ndoo la Ueropa Chelsea, kashika nambari 3 EPL (champions league spot), na kacheza fainali ya Carabao cup. Despite team kucheza vibaya kwa maoni ya mashabiki wengi, haya bado ni mafanikio makubwa. Kafanya jambo jema mno kuondoka on his own terms badala ya kusubiri afukuzwe kwa aibu maana sometimes hata huelewi Roman Abramovich anataka nini hasa.

Chelsea watafanya kosa kufanya majaribio ya kumpa team Lampard. Kama ni trials, ni bora kujaribu kwa Nuno Espirito Santo. Yule jamaa ni jasiri na keshakuwa tested kwenye league na Chelsea alichezea kichapo pia
Bro Chelsea sio arsenal Wala man u Chelsea Ni timu inaweza kuwa na kocha yoyote ikapata mafanikio ilhali tu aijue Chelsea mfano Di matteo alichokuwa uefa bila kuwa na experience yoyote ya ukocha kitu ambacho kinawasaidia Chelsea inawachezaji wengi ambao wameshinda vikombe hi ndio sababu hata sari akachukua kombe lake la kwanza.Lampard Ni mtu anaijua vizuri Chelsea lkn pia bado Chelsea inawachezaji Bora na wenye mafanikio makubwa mfano Luiz,elzipicueta,willian,Pedro,kepa,ludiger,kante ukichanganya na vijana ambao wanakuja juu kwa Sasa km odoi+pulisic+mount+zouma+Christen+lotfus cheeck utanapata timu nzuri lampard anashindwa Sasa? Nafikiri kitu kilichomuondoa sari Ni kutompanga kipenzi Cha wanachelsea ngolo kante kwenye nafasi yake pendwa
 
Lampard Ni mtu anaijua vizuri Chelsea lkn pia bado Chelsea inawachezaji Bora na wenye mafanikio makubwa
Kuijua team pekee sio kigezo cha kumpa team mtu. Japo kuna waliobahatisha (Zidane, Pep), wapo pia waliochemsha (Santiago, Ole, Gatusso).Na hata hao wengine hawakubahatisha as such. Ni tacticians wazuri sana. Having said that, Lampard apewe team kwa vipimo vingine na sio eti kwa kuwa anaijua team lakini bado hii itakuwa ni kama kamari tu
 
Inawezekana asiwe nazo.

Lakini Sarri huwa anapenda kumtumia Jorginho kama deeplying midfielder katika mfumo wake wa Sarri-ball.
Upo sahihi mkuu.... Kwa Chelsea wakat sarri anakuja hakukuwa na mchezaj wa type ya jorginho... But incase of juve there is pjanic who plays same position as jorginho
 
Back
Top Bottom