Kiwanda kiko wapi? Hiki cha Rhino?Habari njema kwa watu wa Tanga na Tanzania kwa ujumla, kutoka na kazi kubwa inayofanywa na Rais Samia katika kuboresha diplomasia ya uchumi na mazingira rafiki ya uwekezaji', Kampuni ya Huaxin Cement ya China kwa kushirikiana na Mfuko wa Uwekezaji wa CADFUND imeanza uzalishaji wa saruji mkoani Tanga.
Ajira nyingi zitapatikana kwa ajili ya Watanzania hususan wakazi wa Tanga, lakini pia uzalishaji wa saruji nchini utaongezeka na kupunguza gharama za ujenzi nchini .
#mamayukokazini
Yes hiki ndo kile cha Rhino karibia na stand mpya Kange wachina wamekinunua na kukiimarisha zaidiKiwanda kiko wapi? Hiki cha Rhino?
“kupunguza gharama za Ujenzi nchini”Habari njema kwa watu wa Tanga na Tanzania kwa ujumla, kutoka na kazi kubwa inayofanywa na Rais Samia katika kuboresha diplomasia ya uchumi na mazingira rafiki ya uwekezaji', Kampuni ya Huaxin Cement ya China kwa kushirikiana na Mfuko wa Uwekezaji wa CADFUND imeanza uzalishaji wa saruji mkoani Tanga.
Ajira nyingi zitapatikana kwa ajili ya Watanzania hususan wakazi wa Tanga, lakini pia uzalishaji wa saruji nchini utaongezeka na kupunguza gharama za ujenzi nchini .
#mamayukokazini