The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Japo wamejitahidi kujitoa ufahamu, Baraza la Waislam Tanzania (BAKWATA) ni chawa aliyejigeuza au kugeuzwa taulo la kufutia damu za watanzania.
Ni aibu na udhalili sina mfano. BAKWATA unaweza kuiita Baraza la Kuu Watawala Taahira kufutia damu za watanganyika.
Naamini Samia angekuwa si muislam, wangesema mwanamke, kiislam hapaswi kuongoza wanaume. Ajabu kwa udini na uzwazwa na uroho na njaa vyao, wanatooongozwa na kutumiwa na huyo huyo Delila.