johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unajua nyakati zile hata mzee Membe alifukuzwa kibabe zaidi na siyo kwa mujibu wa katiba.
Kwa sasa siyo rahisi kumvua mtu uanachama wake kwa sababu demokrasia imetamalaki ndani ya CCM.
Mtu atavuliwa uanachama kwa mujibu wa vikao "halali" vya chama ndio maana unaona akina komredi Kipepe wanafunguka bila uoga.
Mungu ni mwema wakati wote!