Sasa CCM inaendeshwa Kidemokrasia, si rahisi kumfuta mtu uanachama bila kufuata Katiba

Sasa CCM inaendeshwa Kidemokrasia, si rahisi kumfuta mtu uanachama bila kufuata Katiba

Acha ujinga wew ccm ni ile ile jana, leo na hata kesho, wanachofanya ni kuwapoteza maboya muzan kuwa kuna mabadiriko, kama unapinga subir uone 2025 wale watakaojarbu kuchukua form za kugombea urais kinyume na mwenyekiti wa sasa, kama hawatofanyiwa umafia ama kutimuliwa mtaona tu, kuisifia ccm kwa kutenda haki ni ujinga, ni bora ukamsifia mtu mmoja mmoja ndan ya ccm na sio kuisifia ccm nzma, usitegemee haki ndan ya iko chama kilichomilikiwa na majambazi[emoji41][emoji41]
 
Unajua nyakati zile hata mzee Membe alifukuzwa kibabe zaidi na siyo kwa mujibu wa katiba.

Kwa sasa siyo rahisi kumvua mtu uanachama wake kwa sababu demokrasia imetamalaki ndani ya CCM.

Mtu atavuliwa uanachama kwa mujibu wa vikao "halali" vya chama ndio maana unaona akina komredi Kipepe wanafunguka bila uoga.

Mungu ni mwema wakati wote!
Kwani enzi zile waliovuliwa uanachama vikao havikuhusika?...Acheni uzushi tunajua nini mnalenga ila hamfanikiwi. Magufuli yupo kwenye mioyo ya watu wala hamuwezi kumtoa.
 
Unajua nyakati zile hata mzee Membe alifukuzwa kibabe zaidi na siyo kwa mujibu wa katiba.

Kwa sasa siyo rahisi kumvua mtu uanachama wake kwa sababu demokrasia imetamalaki ndani ya CCM.

Mtu atavuliwa uanachama kwa mujibu wa vikao "halali" vya chama ndio maana unaona akina komredi Kipepe wanafunguka bila uoga.

Mungu ni mwema wakati wote!
Demokrasia imetamalaki CCM kwasababu wailo kwenye target ni Gwajima, Polepole nk? au hiyo demokrasia ni kwa wote. Tutumie wembe ule ule uliomnyoa Membe kwa hawa ili haki ionekane ikitamalaki.
 
Back
Top Bottom