Sasa hawa watu wa VAR wanalipwa kwa kazi gani?

Hapo huwezi jua hadi camera iwe exactly juu ya mpira, refer goli la japan world cup, camera ya mbali hivyo unaona kama imevuka mstari ila camera ya juu, inaonesha mpira bado ulikua kwenye mstari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…