Sasa hawa watu wa VAR wanalipwa kwa kazi gani?

Lile sio goli
Ndomana hamuendi nusu.
Kazi kweli kweli.# JOB TRUE TRUE
 
Kumbe Caf ni Kama ndondo cup ya manzese , kwanini refa na wasaidizi wamekataa goli la wazi wakati mashabiki tumeona ?
Maelekezo ya motsepe
 
Labda kwenye angle ile ya ndani ndani ya nyuma ya goli kwa mbaaali mpira uligusa mstari.
Dhurma ya wazi imefanyika, maana hata refa wa kati hakutaka kwenda kuijiridhisha kwenye screen. Ni wazi timu ya raisi ya CAF imesitiliwa.
 
Hizi match ziko fixed, CAF clearly wanawataka Mamelodi afike fainali, ni usenge huu klmy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…