johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe na Tundu Lisu tu na hata kamati kuu yaweza kubakia na wateule wachache sana.
Muda utaongea.
Kazi Iendelee!