Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Umebaki kushangilia wenzio tu! Huna elimu nini? Mbona wengine wanateuliwa wewe upo upo tu?Wewe endelea kumtakana Jiwe wenzako J J Mnyika na Salum Mwalimu wameingia Dodoma na Atcl muda huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umebaki kushangilia wenzio tu! Huna elimu nini? Mbona wengine wanateuliwa wewe upo upo tu?Wewe endelea kumtakana Jiwe wenzako J J Mnyika na Salum Mwalimu wameingia Dodoma na Atcl muda huu!
Wee kweli boyachadema imekwisha kwa kweli kwanza hawana sera hawana la kuwaambia wananchi wewe fikiria karibu miezi miwili hawatangazi sera zao wao wana deal na mambo mawili tu kumkkashifu marehemu na kupiga kelele za kina mdee halafu mje tena kutuomba kura kafieni mbele huko