johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi kwani CHADEMA bado ipo?Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe na Tundu Lisu tu na hata kamati kuu yaweza kubakia na wateule wachache sana.
Muda utaongea.
Kazi Iendelee!
Jifunze kuweka akiba ya manenoWahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe na Tundu Lisu tu na hata kamati kuu yaweza kubakia na wateule wachache sana.
Muda utaongea.
Kazi Iendelee!
Joni ikiwa hivyo ni kuwa watakuwa wameamua kutumia haki yao ya msingi ya uhuru wa maoni,hata hilo hutaki,najua kwa sasa itakuwa ni kwa hiyari yao na sii kwa mashinikizo na vitisho.Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe na Tundu Lisu tu na hata kamati kuu yaweza kubakia na wateule wachache sana.
Muda utaongea.
Kazi Iendelee!
chadema imekwisha kwa kweli kwanza hawana sera hawana la kuwaambia wananchi wewe fikiria karibu miezi miwili hawatangazi sera zao wao wana deal na mambo mawili tu kumkkashifu marehemu na kupiga kelele za kina mdee halafu mje tena kutuomba kura kafieni mbele huko0
[/QUOTE )
Kwani tayari usaili ulisha fanyika kwa ajili ya utetezi na uenezi wa chama kijani pale mtaa wa kijani au harakati hizi ni za kupima upepo ili kujua nguvu ya chama kwa sasa.
Wewe endelea kumtakana Jiwe wenzako J J Mnyika na Salum Mwalimu wameingia Dodoma na Atcl muda huu!Kati ya watu wanafiki na watembea na upepo ni wewe!
Kutoka maendeleo hayana chama hadi kazi iendelee huoni aibu?
Naomba yale maandamano mliyopanga kufanya mkitaka Jiwe aondolewe ukomo wa utawala myafanye kwanini myasitishe?
Hivi kwani CHADEMA bado ipo?
Hivi kwani CHADEMA bado ipo?
Zimebakia bendera tu!Hivi kwani CHADEMA bado ipo?
Ni nyumbu tu atakayebaki chademaWahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe na Tundu Lisu tu na hata kamati kuu yaweza kubakia na wateule wachache sana.
Muda utaongea.
Kazi Iendelee!
akubaliana na wewe!Chadema ilikuwa na nafasi pekee ya kuamka kwa kuwa upande wa JPM ambae awali alipora ajenda zao zote.....emotion na ujinga wa siasa ukawatawala
We lazima utakua mshamba! Kupanda ndege ni achievement??Wewe endelea kumtakana Jiwe wenzako J J Mnyika na Salum Mwalimu wameingia Dodoma na Atcl muda huu!
Enzi zile watu walivyokuwa wamelewa Madaraka ...................!!Jifunze kuweka akiba ya manenoView attachment 1769235
Bora warudi tu ....!!Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe na Tundu Lisu tu na hata kamati kuu yaweza kubakia na wateule wachache sana.
Muda utaongea.
Kazi Iendelee!
Hahaha..Jifunze kuweka akiba ya manenoView attachment 1769235
Kama hiyo inaweza kusaidia kuifanya Tanzania kuwa kama Marekani basi na iwe hivyo wote waondoke chama kikuu cha upinzani kiwe ni TADEA cha Shibuda.Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu wamegoma kumwimbia bwana ugenini na sasa wako njiani kurudi nyumbani.
Pale juu anaweza kubaki Mbowe na Tundu Lisu tu na hata kamati kuu yaweza kubakia na wateule wachache sana.
Muda utaongea.
Kazi Iendelee!
Kwahio wale muliwanunua?Na hawanunuliwi..
[emoji23][emoji23][emoji23]