chadema imekwisha kwa kweli kwanza hawana sera hawana la kuwaambia wananchi wewe fikiria karibu miezi miwili hawatangazi sera zao wao wana deal na mambo mawili tu kumkkashifu marehemu na kupiga kelele za kina mdee halafu mje tena kutuomba kura kafieni mbele huko