GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naomba nichukue nafasi hii adhimu kabisa na katika Jukwaa hili na Mtandao huu pendwa kabisa wa JamiiForums kumtakia Kila la Kheri Mnyange / Mrembo / Mlimbwende wa Kitanzania Dada Queen Elizabeth Mugesi katika Fainali za Kumtamfuta Miss World leo huko Jijini Sanya nchini Uchina / China.
Angalau Mimi GENTAMYCINE nimeepuka na nimejiepusha kuwa ' Mnafiki ' kama Watanzania wengine ambao kwa sasa wamenyamaza na ' Kumpotezea ' kabisa Dada wa Watu ila akishinda tu au kufanya vyema hata kwa ngazi yoyote huko ndipo utaona ' Gumzo ' dhidi yake linaanza na Watu wengine wanajifanya wanampongeza na ' madikodiko ' mengine kibao.
Nawasilisha.