Sasa hivi anashiriki lakini wala hakuna Mtanzania au Watanzania wanaomtakia kheri sasa subiri ashinde ndipo utauona Unafiki wa Wabongo

Sasa hivi anashiriki lakini wala hakuna Mtanzania au Watanzania wanaomtakia kheri sasa subiri ashinde ndipo utauona Unafiki wa Wabongo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Naomba nichukue nafasi hii adhimu kabisa na katika Jukwaa hili na Mtandao huu pendwa kabisa wa JamiiForums kumtakia Kila la Kheri Mnyange / Mrembo / Mlimbwende wa Kitanzania Dada Queen Elizabeth Mugesi katika Fainali za Kumtamfuta Miss World leo huko Jijini Sanya nchini Uchina / China.

Angalau Mimi GENTAMYCINE nimeepuka na nimejiepusha kuwa ' Mnafiki ' kama Watanzania wengine ambao kwa sasa wamenyamaza na ' Kumpotezea ' kabisa Dada wa Watu ila akishinda tu au kufanya vyema hata kwa ngazi yoyote huko ndipo utaona ' Gumzo ' dhidi yake linaanza na Watu wengine wanajifanya wanampongeza na ' madikodiko ' mengine kibao.

Nawasilisha.
 
Wabongo tunapenda kupondaaa tu

Kumsupport mtu hakunaga

Na unafki tunao damuni
 
Ila kiukweli miss world wanakua viwango vya juu sana yaani wazurii hatari ebu fikilia mamis world waliowahi kushinda kama yule muhindi anaitwa aishwaryarai

Alafu unakuta vigongo kama aishwaryarai wote wamejipanga mstari mmoja na wakina mwanaidi,ashura kutoka bongo nao wanagombea nafasi moja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Zifunge Kwanza hizo Kende / Pumbu zako kubwa kama Maparachichi mabichi ya Upareni.
Ahsante kwa jibu.

Ngoja zimalizie kupunua/kupunga upepo hapa ufukweni wa bahari kubwa miongoni mwa bahari kubwa Ulimwenguni na pia ziweze kusawazisha jotoridi ili lisiweze kuathiri ubora na utengenezaji wa madini ya kufyetulia viumbe kama huyu tunayepaswa kumpongeza, kumtia hamasa katika ulingo aliopo huko kunako Uchina.
 
... ila akishinda tu au kufanya vyema hata kwa ngazi yoyote huko ndipo utaona ' Gumzo ' dhidi yake linaanza na Watu wengine wanajifanya wanampongeza na ' madikodiko ' mengine kibao.
Kila la heri dada Elizabeth. Na mimi ni Mtanzania wa pili kukutakia heri hadharani baada ya GENTAMYCINE, na kwa kufanya hivi nimejitoa katika list ya watakaoonekana wanafiki
 
Ila kiukweli miss world wanakua viwango vya juu sana yaani wazurii hatari ebu fikilia mamis world waliowahi kushinda kama yule muhindi anaitwa aishwaryarai

Alafu unakuta vigongo kama aishwaryarai wote wamejipanga mstari mmoja na wakina mwanaidi,ashura kutoka bongo nao wanagombea nafasi moja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ila Queen Elizabeth mzuriii jaman Afu kana akili ,Hayupo kama hao wengine waliopita

Hebu achana na hao wa Hindi na Wavenezuela mpige kura mtanzania huyu

Wallah hutajutia
 
Kila la heri dada Elizabeth. Na mimi ni Mtanzania wa pili kukutakia heri hadharani baada ya Gentamycine, na kwa kufanya hivi nimejitoa katika list ya watakaoonekana wanafiki

Ni GENTAMYCINE na siyo Gentamycine uliyoiandika Wewe Mkuu. Nitashukuru kama ukiibadilisha tafadhali.
 
Ila Queen Elizabeth mzuriii jaman Afu kana akili ,Hayupo kama hao wengine waliopita

Hebu achana na hao wa Hindi na Wavenezuela mpige kura mtanzania huyu

Wallah hutajutia

Hapo kama ana akili sana au kiduchu nakuachia mwenyewe na Wapima ' IQ ' duniani muweze kutuchanganulia vyema ila Mimi kwa upande wa Yeye kuwa na ' Mvuto ' nakubaliana nawe kwa 100% na namuonea mno ' Wivu ' Mwanaume wake kwani ama hakika anafaidika sana na ' Rasilimali Mbunye ' yake.
 
hahahaaaaa

Uzuri pia ameokoka , Papuchi yake itatumiwa na waokovu wenzie
 
hahahaaaaa

Uzuri pia ameokoka , Papuchi yake itatumiwa na waokovu wenzie

Ninachojua na ambacho nina uhakika nacho kwa 100% wote waliokoka leo ' wameshatembezewa ' mno ' Rasilimali Mikuyenge ' na baada ya Kuichoka sasa ndiyo wameamua Kumjua na Kumfuata Maulana / Mola Wetu.
 
Ninachojua na ambacho nina uhakika nacho kwa 100% wote waliokoka leo ' wameshatembezewa ' mno ' Rasilimali Mikuyenge ' na baada ya Kuichoka sasa ndiyo wameamua Kumjua na Kumfuata Maulana / Mola Wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bhaccc sawa..
Tuachane na mbunye yake ,tuendelee kumpigia kura na akishinda tukampokee na maua airport
 
Kuna page moja tu Instagram(lulunation) nimeona angalau anamsupport kwa kuhamasisha followers ila mastar hakuna hata mmoja alie post kwa kuhamasisha
 
Minah24 habari zilizonifikia dakika 10 zilizopita kutoka katika Mtandao wa Gazeti la Daily Monitor ( Mtandaoni ) la nchini Uganda linasema kwamba Mlimbwende ( Mrembo ) kutoka nchini Uganda ( Miss Uganda ) aitwae Abenakyo ameshinda Taji la kuwa ' Miss World Continental Africa ' ( yaani Mrembo mzuri kuliko wote Barani Afrika. Tuendelee Kumuombe Queen Elizabeth wetu kwani anaweza akashinda Kipengele cha ' Wasindikizaji Bora wa miaka yote ya Miss World ' na akarudi na hilo Taji.
 
Ameshashindwa. Mjadala uishe

Kama ' Mijitu ' kama Wewe muda wote mlikuwa mmenyamaza na mmekuja Kujitokeza sasa hivi ' Kiumbea ' na ' Kushadadia ' kuwa ameshashindwa ama hakika ilikuwa ni lazima ashindwe tu Dada wa Watu.

Anyways tujiandae sasa kusubiri kupata ' Visingizio ' vya Kushindwa Kwake ambavyo huwa vinabadilika mwaka hadi mwaka kutoka kwa Washiriki wetu na tusishangae kusikia ' Kisingizio ' kuwa nimeshindwa Miss World kwakuwa tulilishwa Konokono, Nyoka na Kenge au Maji ya Kuoga yalikuwa na Mende wengi na Mijusi.
 
Back
Top Bottom