GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wabongo tunapenda kupondaaa tu
Kumsupport mtu hakunaga
Na unafki tunao damuni
Uzi ufungweMkuu ' Shikamoo ' sana kwani umemaliza kila Kitu.
Uzi ufungwe
Ahsante kwa jibu.Zifunge Kwanza hizo Kende / Pumbu zako kubwa kama Maparachichi mabichi ya Upareni.
Kila la heri dada Elizabeth. Na mimi ni Mtanzania wa pili kukutakia heri hadharani baada ya GENTAMYCINE, na kwa kufanya hivi nimejitoa katika list ya watakaoonekana wanafiki... ila akishinda tu au kufanya vyema hata kwa ngazi yoyote huko ndipo utaona ' Gumzo ' dhidi yake linaanza na Watu wengine wanajifanya wanampongeza na ' madikodiko ' mengine kibao.
Ila Queen Elizabeth mzuriii jaman Afu kana akili ,Hayupo kama hao wengine waliopitaIla kiukweli miss world wanakua viwango vya juu sana yaani wazurii hatari ebu fikilia mamis world waliowahi kushinda kama yule muhindi anaitwa aishwaryarai
Alafu unakuta vigongo kama aishwaryarai wote wamejipanga mstari mmoja na wakina mwanaidi,ashura kutoka bongo nao wanagombea nafasi moja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimebakiza kuvote tu na kulipia decoda ili nione live atakavyoshinda.Mkuu ' Shikamoo ' sana kwani umemaliza kila Kitu.
Kila la heri dada Elizabeth. Na mimi ni Mtanzania wa pili kukutakia heri hadharani baada ya Gentamycine, na kwa kufanya hivi nimejitoa katika list ya watakaoonekana wanafiki
Ila Queen Elizabeth mzuriii jaman Afu kana akili ,Hayupo kama hao wengine waliopita
Hebu achana na hao wa Hindi na Wavenezuela mpige kura mtanzania huyu
Wallah hutajutia
hahahaaaaaHapo kama ana akili sana au kiduchu nakuachia mwenyewe na Wapima ' IQ ' duniani muweze kutuchanganulia vyema ila Mimi kwa upande wa Yeye kuwa na ' Mvuto ' nakubaliana nawe kwa 100% na namuonea mno ' Wivu ' Mwanaume wake kwani ama hakika anafaidika sana na ' Rasilimali Mbunye ' yake.
Picha yake kama unayo nimuoneIla Queen Elizabeth mzuriii jaman Afu kana akili ,Hayupo kama hao wengine waliopita
Hebu achana na hao wa Hindi na Wavenezuela mpige kura mtanzania huyu
Wallah hutajutia
hahahaaaaa
Uzuri pia ameokoka , Papuchi yake itatumiwa na waokovu wenzie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ninachojua na ambacho nina uhakika nacho kwa 100% wote waliokoka leo ' wameshatembezewa ' mno ' Rasilimali Mikuyenge ' na baada ya Kuichoka sasa ndiyo wameamua Kumjua na Kumfuata Maulana / Mola Wetu.
Ameshashindwa. Mjadala uishe