Sasa hivi hata ukitaka kuposti picha ya upinde wa mvua unajiuliza maana wananzego wataanza kuunganisha dot

Sasa hivi hata ukitaka kuposti picha ya upinde wa mvua unajiuliza maana wananzego wataanza kuunganisha dot

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
LGBTQ si mngebuni bendera yenu unique kuliko kutumia bendera yenye rangi za upinde wa mvua ambao hausiani na mambo yenu.

Yani sasa hivi hata upinde wa mvua ukitokezea ukiuangalia tu unajishangaa unaanza ku-refer na libendera lenu hilo.

Anyway maisha yaendelee.
 
Kwa wasio jua upinde wa mvua

Rainbow (disambiguation).

A rainbow is an optical phenomenon caused by refraction, internal reflection and dispersion of light.

images (51).jpeg
 
Dah yani bora hata wangetumia nembo ya simba sc........wengine enzi hizo tukiona upinde na vimanyunyu tunaambiwa simba anazaa
 
Yaan tatzo nkwamba watu wengi saiv wako sensitive na mambo mabaya.Yaan inaonekana watu wengi moyo yao wanamzngatia shetan.Mfano ni hili suala la p didy yaan watu wamekuw wajumbe wazur ktk kuyatangaza matendo ya didy tena bila kujal hadhira.Kwahyo hao jamaa wa upnde wamefanikiwa kwakuw akili za watu wengi ni kama udongo mzur wenye kustawisha mbegu ya uovu(habar za uharbifu) kulko kustawsha mbegu ya uzima(good news).
Upinde imekuw gumzo saana kwakuw ujumbe wao(codes) zko connected na mind za watu (human mind decoding capacity).
 
Back
Top Bottom