Wanakera.LGBTQ si mngebuni bendera yenu unique kuliko kutumia bendera yenye rangi za upinde wa mvua ambao hausiani na mambo yenu.
Yani sasa hivi hata upinde wa mvua ukitokezea ukiuangalia tu unajishangaa unaanza ku-refer na libendera lenu hilo.
Anyway maisha yaendelee.
Hawa jamaa ni wapuuzi sana.LGBTQ si mngebuni bendera yenu unique kuliko kutumia bendera yenye rangi za upinde wa mvua ambao hausiani na mambo yenu.
Yani sasa hivi hata upinde wa mvua ukitokezea ukiuangalia tu unajishangaa unaanza ku-refer na libendera lenu hilo.
Anyway maisha yaendelee.
Ukipost upinde wa mvua tu watu wanaanza kuunganisha dot.Labda watu tuache kuishi sasa maana kwenye upinde kuna rangi ya vitu vingi vilivyotuzunguka, we ukiwaza ujinga ni mawazo yako tu
Don't mind themUkipost upinde wa mvua tu watu wanaanza kuunganisha dot.
Hapa ndipo tatizo linapoanza😁
Hapo kwenye simba ndio umezingua, bora ungesema bendera ya ccm.Dah yani bora hata wangetumia nembo ya simba sc........wengine enzi hizo tukiona upinde na vimanyunyu tunaambiwa simba anazaa
😁😁😁Hapo kwenye simba ndio umezingua, bora ungesema bendera ya ccm.