comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
VpAisee!
Shngap?Kongoro la kitimoto limeshuka bei.....
2000.Shngap?
SHEKH MAZINGE HUYO ALIKIMBIA HADI NA MZANI WA NGURUWEWakati kabla ya mambo ya kushinda na njaa hayajaanza ilikua ukienda hata sa12 tuu huikuti.
Je, wakina nani hua wanakula sana Nguruwe hadi kwasasa iwe inabaki nyingi? Nini kimetokea?
Karibu katika mjadala.
Mapovu pia napokea nitafulia kanzu yangu.
HAta kama mifungo miwili hii isingegongana , ikifikaga kipindi hiki focus karibu kila mtu huwa kwenye futari na uji wapilipiliKwanza ukumbuke wanaofunga ndani ya huuwezi sio Muslim tuu,
Pili moja ya sheria ya funga ya Kwerisma ni kuacha jambo unalopenda sana ambalo ni dhambi na halipendezi, tunajuaje ikiwa waliofunga Kwerisma ndio wamesababisha hilo??
😀😀SHEKH MAZINGE HUYO ALIKIMBIA HADI NA MZANI WA NGURUWE
Nasikia wanaila sa9 usiku wameipa jina DAKUWala buzi katoliki chini ya meza wamebadili mbinu na mashambulizi ya kula katika kipindi cha mbalamwezi wa mudy.
Ni noma.Nasikia wanaila sa9 usiku wameipa jina DAKU
Aione Dr Janabi kwenye jalada
Hapo chipsi mayai ndio imeharibu, hapo toa chipsi mayai weka ugali wa muhogo