Sasa hivi maisha hayachangamishi tena; mbadala ni nini?

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,069
Reaction score
25,172
Tanzania ya leo bila NBC premier league, maisha hayachangamsihi tena. SIasa za uchaguzi ndiyo zimekuwa za hovyo kabisa; tuna CCM inayoenedsha mambo yao kwa mabavu kifalme na CHADEMA inayoendesha mambo yao kipatapotea bila malengo thabiti yenye mvuto - lengo lao CHADEMA ni kuiondoa CCM madarakani bila kueleza wao watafanya nini tofauti na CCM.; hawajui maana ya "heri zimwi ulijulualo" kisiasa

Itachukua muda kidogo kabla ya raha kurudi tena nchini wakati michezo ya ngao ya Jamii itakapoanza tena.

Wewe sasa hivi unawekwa bize na matukio yapi yanayoendelea nchini?
 
Write your reply...upo sahihi kabisa soka la bongo ndio furaha na dawa ya nchi
 
Wewe sasa hivi unawekwa bize na matukio yapi yanayoendekea nchini?
NERNE-2025

No electroral reforms, 2025
No elections, 2025
 
Write your reply...upo sahihi kabisa soka la bongo ndio furaha na dawa ya nchi
Soka siyo dawa bali ndiyo inayotufariji kipindi hiki kabla hatujapata dawa kamili ya nchi. Siasa za uchaguzi hazina mvuto kabisa.
 
Mtoto wa kiume unataka kuchangamshwa? Njoo Itumbi lodge chumba B2 nikuchangamshe🤭
 
Mieleka, kucheza game kwenye ps au simu, kusikiliza muziki.

Halafu mbona sisi wengine hatu angalii huo mpira wa bongo?
 
Huko NBC mbona ndo kwa hovyo kabisa.
Jitafute...
 
Huko NBC mbona ndo kwa hovyo kabisa.
Jitafute...
NBC league haugusi maisha yetu moja kwa mmoja bali ni burudani tu. Siasa za uchaguzi zinagusa maisha yetu lakini hazina mwamsho.
 
Mtoto wa kiume unataka kuchangamshwa? Njoo Itumbi lodge chumba B2 nikuchangamshe🤭
Kama unawakilisha akili za watanzamia wa kizazi chako basi hapo ndipo tatizo lilipo; mimi siyo "mtoto wa kiume" kama wewe bali ni "dume la mbegu" lililokula chumvi nyingi sana hadi mweili wote sasa hivi ni Sodium Chrolide tupu
 
Haya ndio yanatupumbaza
Tanzania ya leo bila NBC premier league, maisha hayachangamsihi tena. SIasa za uchaguzi ndiyo zimekuwa za hovyo kabisa; tuna CCM inayoenedsha mambo yao kwa mabavu kifalme na CHADEMA inayoendesha mambo yao kipatapotea bila malengo thabiti yenye mvuto - lengo lao CHADEMA ni kuiondoa CCM madarakani bila kueleza wao watafanya nini tofauti na CCM.; hawajui maana ya "heri zimwi ulijulualo" kisiasa

Itachukua muda kidogo kabla ya raha kurudi tena nchini wakati michezo ya ngao ya Jamii itakapoanza tena.

Wewe sasa hivi unawekwa bize na matukio yapi yanayoendelea nchini?
 
Haya ndio yanatupumbaza
Nafikili hujui kuwa wakati KANU inaondolewa madarakani huko Kenya, mpira wa Kenya ulikuwa juu sana, na hata wakati Kaunda na ANC wanaondolewa amadarakani KK11 ndiyo ilikuwa timu kubwa sana ya mpira kusini mwa Afrika. Wanasiasa wa upinzani huko Kenya nan Zazmbia walikuwa wanauza sera zilizoiva sana; hawakuwa wanaharakati kama hawa wa kwetu leo.
 
Mpira wa NBC ulojaa mipasho...
Sema tunaelekea kukosa mbadala kabisaa...
Kilichobakia kila mtu awekeze kwny familiia yake ndo iwe furaha yake...
 
Back
Top Bottom