NERNE-2025Tanzania ya leo bila NBC premier league, maisha hayachangamsihi tena. SIasa za uchaguzi ndiyo zimekuwa za hovyo kabisa; tuna CCM inayoenedsha mambo yao kwa mabavu kifalme na CHADEMA inayoendesha mambo yao kipatapotea bila malengo thabiti yenye mvuto - lengo lao CHADEMA ni kuiondoa CCM madarakani bila kueleza wao watafanya nini tofauti na CCM.; hawajui maana ya "heri zimwi ulijulualo" kisiasa
Itachukua muda kidogo kabla ya raha kurudi tena nchini wakati michezo ya ngao ya Jamii itakapoanza tena.
Wewe sasa hivi unawekwa bize na matukio yapi yanayoendekea nchini?
Kama unawakilisha akili za watanzamia wa kizazi chako basi hapo ndipo tatizo lilipo; mimi siyo "mtoto wa kiume" kama wewe bali ni "dume la mbegu" lililokula chumvi nyingi sana hadi mweili wote sasa hivi ni Sodium Chrolide tupuMtoto wa kiume unataka kuchangamshwa? Njoo Itumbi lodge chumba B2 nikuchangamshe🤭
Tanzania ya leo bila NBC premier league, maisha hayachangamsihi tena. SIasa za uchaguzi ndiyo zimekuwa za hovyo kabisa; tuna CCM inayoenedsha mambo yao kwa mabavu kifalme na CHADEMA inayoendesha mambo yao kipatapotea bila malengo thabiti yenye mvuto - lengo lao CHADEMA ni kuiondoa CCM madarakani bila kueleza wao watafanya nini tofauti na CCM.; hawajui maana ya "heri zimwi ulijulualo" kisiasa
Itachukua muda kidogo kabla ya raha kurudi tena nchini wakati michezo ya ngao ya Jamii itakapoanza tena.
Wewe sasa hivi unawekwa bize na matukio yapi yanayoendelea nchini?
Umenikumbusha, ngoja nikamfukuzie jiran yanguNa hiki kipupwe unauliza mbadala kweli!?
Usikae kinyonge mtu wangu🤣Umenikumbusha, ngoja nikamfukuzie jiran yangu
Nafikili hujui kuwa wakati KANU inaondolewa madarakani huko Kenya, mpira wa Kenya ulikuwa juu sana, na hata wakati Kaunda na ANC wanaondolewa amadarakani KK11 ndiyo ilikuwa timu kubwa sana ya mpira kusini mwa Afrika. Wanasiasa wa upinzani huko Kenya nan Zazmbia walikuwa wanauza sera zilizoiva sana; hawakuwa wanaharakati kama hawa wa kwetu leo.Haya ndio yanatupumbaza
I still repeat POPOMA MWITUMieleka, kucheza game kwenye ps au simu, kusikiliza muziki.
Halafu mbona sisi wengine hatu angalii huo mpira wa bongo?