Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Muda wa kuomba hifadhi yakisiasa New YorkNi raia wa Eritrea, Cameroun na Uganda ndio walikuwa na asilimia kubwa wakiomba ukimbizi ulaya wanapewa.
Eritrea na Cameroun wanapewa sana kwenye maswala ya siasa.
Waganda kwenye maswala ya ushoga.
Sasa kwaanzia tarehe 29 October mbongo ulaya akiomba ukimbizi kwa maswala ya kisiasa faster utapata asylum.
Yani yale mapicha na video za kutisha s ukiattach kwenye application wazungu walivyo emotional na huruma watalia balaa na kukupa ukimbizi.
RRONDO Victoire Magonjwa Mtambuka
Unamaana ganiWaganda kwenye maswala ya ushoga.
2000 hadi 2005 wazenji wengi sana walipqata Uraia USA, UK kwa wingi sana na Kanada, cha ajabu hakuna aliyekimbilia Oman. saudia wala UturkMuda wa kuzamia nyuu yoki Nyani Ngabu hauna shemeji yako unipachike tusaidiane kutunza vizee USA Baby πΉπΉ
Umechelewa sana kujua hilo wenzio wameshaomba na wanasubiri majibu tu chap wapae zao..Ni raia wa Eritrea, Cameroun na Uganda ndio walikuwa na asilimia kubwa wakiomba ukimbizi ulaya wanapewa.
Eritrea na Cameroun wanapewa sana kwenye maswala ya siasa.
Waganda kwenye maswala ya ushoga.
Sasa kwaanzia tarehe 29 October mbongo ulaya akiomba ukimbizi kwa maswala ya kisiasa faster utapata asylum.
Yani yale mapicha na video za kutisha s ukiattach kwenye application wazungu walivyo emotional na huruma watalia balaa na kukupa ukimbizi faster.
RRONDO Victoire Magonjwa Mtambuka
OMAN, SAUDI ARABIA ... NI KWAO, WENDE WAKAFANYE NINI, WAKATI KUFANIKIWA NI KUONDOKA KWENU KWENDA KWENYE NCHI AMBAYO UNAKWENDA KUTAFUTA,2000 hadi 2005 wazenji wengi sana walipqata Uraia USA, UK kwa wingi sana na Kanada, cha ajabu hakuna aliyekimbilia Oman. saudia wala Uturk
Usitoe codeUmechelewa sana kujua hilo wenzio wameshaomba na wanasubiri majibu tu chap wapae zao..
Golden chance never come twice.
Kwani wao mafala hawaijui nchi ya ahadi πΉπΉ2000 hadi 2005 wazenji wengi sana walipqata Uraia USA, UK kwa wingi sana na Kanada, cha ajabu hakuna aliyekimbilia Oman. saudia wala Uturk
πKaribu sana kama unahitaji sehemu ya kufikia niambie.
πππππMuda wa kuzamia nyuu yoki Nyani Ngabu hauna shemeji yako unipachike tusaidiane kutunza vizee USA Baby πΉπΉ
Nije kwa Trump, afu nisikutafute kwelii??Wewe nasikia umekuja hata hujanitafuta kweli?
Haina tabu, ni wewe tu.Nije kwa Trump, afu nisikutafute kwelii??
We niandalie makazi hapo Washington DC