lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Umechelewa kujua..
Kuna kiongozi wa chadema mkoa Fulani mwezi mmoja nyuma alikamatwa kwa shutuma kua katuma vijana wakaandike katika ukuta wa kiwanda Cha Rostam Aziz "NO Reform No Election"
Akalala polisi siku 3 then polisi wakampa sharti kua hili wasimpe kesi mbaya aite waandishi wa habari na atangaze kua October 29 ni amani na watu wakapige Kura..
Jamaa akakubali,wakamtoa hili wafanye maandalizi ya press,.jamaa akajiongeza akakimbilia ubalozi wa Wazungu hapo mjini Dar,Hadi naandika haya jamaa yupo ofisi za ubalozi...Shavu