PostGE2025 Sasa hivi mtanzania ukiomba hifadhi ya ukimbizi Ulaya unapewa haraka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Umechelewa kujua..

Kuna kiongozi wa chadema mkoa Fulani mwezi mmoja nyuma alikamatwa kwa shutuma kua katuma vijana wakaandike katika ukuta wa kiwanda Cha Rostam Aziz "NO Reform No Election"

Akalala polisi siku 3 then polisi wakampa sharti kua hili wasimpe kesi mbaya aite waandishi wa habari na atangaze kua October 29 ni amani na watu wakapige Kura..

Jamaa akakubali,wakamtoa hili wafanye maandalizi ya press,.jamaa akajiongeza akakimbilia ubalozi wa Wazungu hapo mjini Dar,Hadi naandika haya jamaa yupo ofisi za ubalozi...Shavu
 
UOngo huo
,hiyo process yenyewe balaa,
Sio kwa vimaandamano vya siku moja.
Unakimbizwa mapema tu.
 
Usiwaamshe waliolala. Ila hii ina apply kwa watu wenye ushawishi sana au special groups. Ukiwa na strong evidence kuwa unafuatiliwa na polisi ili wakuue ndo unakula points zote!
 
Oya Black Sniper naona London bei za bidhaa zinazidi kupaa, sisi walala hoi si tuta kuwa omba omba.
Uzuri bei hazipandi hivyo kama bongo
Kuna mfumuko na kuna kuna kupanda kwa bei.
Kupanda huku ni kidogo sana na bado wote tunamudu
Kuna kazi laki 2 zinatoka kila siku sasa utalalaje njaa?
Hakuna njaa huku labda uamue tu usile

Ukiona zinavuja sana mfukoni basi unaenda piga kibarua sehemu
Kuna jamaa mbrazil kakamatwa hana sheria ila alikuwa na kazi tatu Uber eat, Delivaroo na just eat zote anapiga kila siku

Kakamatwa anaingiza £6k kwa mwezi
Njaa kwaheri
 
Dah mwana katisha Sana, shida bongo patamu buana 😂
 
Taratibu zikoje
 
Yaani miaka 5 tu unarudi zako
Lakini nyumbani pazuri kama una kipato kizuri
Imagine sehemu kama Kitulo national Park napapenda sana natamani niishi huko kwa ile ardhi
Usihame huko bro
Nyumbani ni nyumbani kaka, ukiwa mzunguko mzuri kwa mwezi na portfolio imara basi unyama sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…