Na lile baridi jua halipo kule mi sikuwezi kwa kweliYaani miaka 5 tu unarudi zako
Lakini nyumbani pazuri kama una kipato kizuri
Imagine sehemu kama Kitulo national Park napapenda sana natamani niishi huko kwa ile ardhi
Usihame huko bro
Unapigwa baridi mpaka akili inakaa sawa na unakuwa mbunifu 😂Na lile baridi jua halipo kule mi sikuwezi kwa kweli
Kweli kabisaNyumbani ni nyumbani kaka, ukiwa mzunguko mzuri kwa mwezi na portfolio imara basi unyama sana.
Wakati ukifika kila kitu kitakuwa.Kweli kabisa
Natamani sana home
Cazee usiniache tuondoke wote 😹Muda wa kusepetuka
Hahahah andaa mabegi tuCazee usiniache tuondoke wote 😹
wee koma bakin na zombi wenu awanyonye damu.Jamani situlikubaliana mpaka tuikomboe nchi kwanza?
Nikipata namna pa kuanzia wallah sitageuza shingowee koma bakin na zombi wenu awanyonye damu.
wacha sie tuzamie niuuu yokii siit
tutarud huyu zombi akiwala wote na kukosa wakuwatawala
Process zipoje mkuu. Nisepe zangu mieKaribu sana kama unahitaji sehemu ya kufikia niambie.
Nimeanza mchakato this month befoʻre January niwe na passport na pesa ya kunikidhi safarin.Process zipoje mkuu. Nisepe zangu mie
Kha! Mi nilidhani pesa napewa? Nani anagharamia ticket?Nimeanza mchakato this month befoʻre January niwe na passport na pesa ya kunikidhi safarin.
nadhani maelekezo mazur yapo ubaroz wa marekanNikipata namna pa kuanzia wallah sitageuza shingo
Tutakutana Dunian uko
FURSA...Ni raia wa Eritrea, Cameroun na Uganda ndio walikuwa na asilimia kubwa wakiomba ukimbizi Ulaya wanapewa.
Eritrea na Cameroun wanapewa sana kwenye maswala ya siasa.
Waganda kwenye maswala ya ushoga.
Sasa kwaanzia tarehe 29 October mbongo Ulaya akiomba ukimbizi kwa maswala ya kisiasa faster utapata asylum.
Yani yale mapicha na video za kutisha ukiattach kwenye application wazungu walivyo emotional na huruma watalia balaa na kukupa ukimbizi faster.
RRONDO Victoire Magonjwa Mtambuka
hapo umeongea neno.Wanaowaita wale makafiri sasa kwanini wakaacha kukimbilia nchi yao ya ahadi wakawakimbilia makafiri?2000 hadi 2005 wazenji wengi sana walipqata Uraia USA, UK kwa wingi sana na Kanada, cha ajabu hakuna aliyekimbilia Oman. saudia wala Uturk
hapo umeongea neno.Wanaowaita wale makafiri sasa kwanini wakaacha kukimbilia nchi yao ya ahadi wakawakimbilia makafiri?
Naaandika haya na mimi nikiwa mvaa kobazi mwenzao sio mgalatia