Sasa hivi ni kama wanawake wamepotezea kuunganisha jina lake na la ukoo wa mme wake

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kuna wakati ulipokuwa unakuwa hata ukiona kadi ambayo mama yako bi amealikwa mahala binfasi bila baba unaiona imeandika "mrs grace mboma" (mfano). Hilo mboma ni jina la baba yako.

Sasa sijui ni imeshakuwa old-fashioned au ndio hio feminism imeshagonga hodi.😂
 
Katika enzi hizi za mavyeti kibao ya elimu ni kipengele kidogo..itabid amendment ifanyike kote kwa viapo. Back then kina mama wengi walikua wamama wa nyumbani nadhani...(elimu kwa mtoto wa kike haikua kipaumbele).
 
Kuna wakati ulipokuwa unakuwa hata ukiona kadi ambayo mama yako bi amealikwa mahala binfasi bila baba unaiona imeandika "mrs grace mboma" (mfano). Hilo mboma ni jina la baba yako.

Sasa sijui ni imeshakuwa old-fashioned au ndio hio feminism imeshagonga hodi.😂
Kina Nyerere walimsimanga mtalaka wao mmoja kwa kuendelea kutumia jina la Nyerere hata baada ya talaka na mtoto wa Nyerere.

Labda wanawake wameona isiwe tabu wasitumie hayo majina ya waume zao kabisa.
 
Ni nani😂 yule jamaa mwenye stori nyingi au yule mpole aliepo butiama?
 
Back
Top Bottom