Katika enzi hizi za mavyeti kibao ya elimu ni kipengele kidogo..itabid amendment ifanyike kote kwa viapo. Back then kina mama wengi walikua wamama wa nyumbani nadhani...(elimu kwa mtoto wa kike haikua kipaumbele).Kuna wakati ulipokuwa unakuwa hata ukiona kadi ambayo mama yako bi amealikwa mahala binfasi bila baba unaiona imeandika "mrs grace mboma" (mfano). Hilo mboma ni jina la baba yako.
Sasa sijui ni imeshakuwa old-fashioned au ndio hio feminism imeshagonga hodi.😂
Kina Nyerere walimsimanga mtalaka wao mmoja kwa kuendelea kutumia jina la Nyerere hata baada ya talaka na mtoto wa Nyerere.Kuna wakati ulipokuwa unakuwa hata ukiona kadi ambayo mama yako bi amealikwa mahala binfasi bila baba unaiona imeandika "mrs grace mboma" (mfano). Hilo mboma ni jina la baba yako.
Sasa sijui ni imeshakuwa old-fashioned au ndio hio feminism imeshagonga hodi.😂
Ni nani😂 yule jamaa mwenye stori nyingi au yule mpole aliepo butiama?Kina Nyerere walimsimanga mtalaka wao mmoja kwa kuendelea kutumia jina la Nyerere hata baada ya talaka na mtoto wa Nyerere.
Labda wanawake wameona isiwe tabu wasitumie hayo majina ya waume zao kabisa.
Godfrey Madaraka.Ni nani😂 yule jamaa mwenye stori nyingi au yule mpole aliepo butiama?
Mkiachana pia usilete fyokofyoko za kugawana mali, kila mmoja abaki na mali zake.Ana majina yake na mimi Nina majina yangu tuliyopewa na wazaz kwann nibadilishe langu? Kitu kitakacho badili ni Mrs fulan sio nibebe mijina yake
Suala la ndoa katika nyanja nyingi linakua functionable kama mke akiwa mama wa nyumbaniKatika enzi hizi za mavyeti kibao ya elimu ni kipengele kidogo..itabid amendment ifanyike kote kwa viapo. Back then kina mama wengi walikua wamama wa nyumbani nadhani...(elimu kwa mtoto wa kike haikua kipaumbele).
Kama tuna watoto Hana budi kuwaachia watotoMkiachana pia usilete fyokofyoko za kugawana mali, kila mmoja abaki na mali zake.
Likiwa la ukoo mmoja waweza mruka futi 100 kuwa sio mkeo ni nduguMkiachana pia usilete fyokofyoko za kugawana mali, kila mmoja abaki na mali zake.