Sasa hivi noti ya shilingi elfu kumi ni hela nyingi sana

Sasa hivi noti ya shilingi elfu kumi ni hela nyingi sana

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
 
Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
Hausaiidii unaumiza[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Siyo kivile sana mkuu kwa sababu bidhaa bado hazijashuka bei! Mfano kipindi cha nyuma ulikuwa unapata karibia kilo 5.5 za sukari kwa buku kumi, ila leo hii unapata 4kg tu! So hali imezidi kuwa mbaya yaani!?
 
Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...

Hata sasa bado inakwisha haraka sana mkuu maana vitu havijapungua bei. Tofauti pekee na hapo nyuma ni kwamba sasa hivi watu wengi wamekuwa a bit more ''money conscious'' na wengi hawaspend kwenye matumizi ya ''hovyo''. Ndio maana unaona Elfu kumi yako haiishi haraka
 
Hivi ule msemo wa laki si pesa milioni chenji bado una nguvu?
 
Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
Toa hoja zilizokufanya useme hivyo, naona umevutiwa kusema lakini huna hoja ya msingi sana, weka matumizi ya 10000 leo na yalivyokua miezi mitano nyuma ili watu wane tofauti. Changanua kiuchumi ili watu waone ukweli huo, maana mimi naona kama haupo sahihi
 
Kimfano bia ambazo watu hutumia kila siku, sukari, nyama nk. Mbona bei hazijashuka? Matokeo yake zimeongezeka! Hiyo elf 10 imepata wapi thamani!? Acha uchuro basi, maisha magumu"
 
mkuu utakuwa wewe umepunguza kiwango .. mi bado bia napata nne na sukari kilo tatu... sema tu nimeamua kuwa mkali hata mia siachi mahali tembea ujuavyo chenji yangu ilete hapa au muuzaji aamue kunipa bure
 
Hata sasa bado inakwisha haraka sana mkuu maana vitu havijapungua bei. Tofauti pekee na hapo nyuma ni kwamba sasa hivi watu wengi wamekuwa a bit more ''money conscious'' na wengi hawaspend kwenye matumizi ya ''hovyo''. Ndio maana unaona Elfu kumi yako haiishi haraka
Kwa mantiki iyo nakubali kwamba inaweza kuwa kubwa kwa kujibana na kujinyima,kama ulikuwa unashindia wali nyama sasa unakula wali maharage.Ila kwa uchumi kiujumla bado maisha yako juu,ukiichenji tu inakwisha.
 
Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
Hapo unaongelea kimbele nyuma kwani mda huu inaisha haraka zaidi
 
Dah...Juzi tu hapa nimepigiwa simu kama bado mahitaji shamba nililoshindwa kununua kwa laki2 Jan 2015 leo hii linauzwa elfu 30 tu... Long live JPM [emoji4]
 
Siku hizi ukinywa bia unaonekana ni tajiri
 
Anaeona nchi hii imemshinda ni bora akahamia nchi nyingine maana hakuna namna ..kila siku kumlaumu mjomba angu magufuli je ingelikuwa ni nyie nawalaumu wajomba zenu kila siku mngechukuliaje ..acheni upumbavu fanyen kazi
 
Back
Top Bottom