Sasa hivi noti ya shilingi elfu kumi ni hela nyingi sana

Sasa hivi noti ya shilingi elfu kumi ni hela nyingi sana

hyo elfu kumi yenyewe hapa sina kwahyo hata sjui kama ni nying au chache..
 
safi sana Mh. rais Jpm umerudisha heshima si tu kwa watumishi wa umma pekee bali hata kwa wananchi, umeleta mageuzi ya kuheshimu pesa na kupangilia matumizi kwa mtu mmoja mmoja, pesa sasa heshima yake imeanza kupanda,
you cant get money unless you work[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]

redundance kwenye michepuko zitaongezeka maana huwezi kusota kwenye shughuli zako ngumu na ukamanage kuhonga michepuko mitatu at once!!!
Shikamoo ngosha...hiki kipondo kimewapata kizani subiri mayowe na ndio kwanza yameanza.
 
Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
Sio kweli mkuu, hebu jiulize; kilo ya sukari shilingi ngapi (mwaka jana ilikuwa shilingi ngapi )?, Nauli ya daladala ni shilingi ngapi? Nauli ya bodaboda imepungua? Kilo ya nyama sasa ni shilingi ngapi? Mwaka jana ilikuwa shilingi ngapi?

Sasa kama bei za unga, nauli, nyama, na sukari hazijapungua; unapata wapi ujasiri wa kusema thamani ya elfu 10 imepanda?

Vv
 
Mbona ndogo sana mkuu sema upatikanaji wake mgumu halafu matumizi mskubwa
 
Back
Top Bottom