Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hausaiidii unaumiza[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
Sasa tufanyeje mkuu? tuvumilie hivyo hivyo au?Hausaiidii unaumiza[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...
Hakuna marefu yasiyo na nchaSasa tufanyeje mkuu? tuvumilie hivyo hivyo au?
Toa hoja zilizokufanya useme hivyo, naona umevutiwa kusema lakini huna hoja ya msingi sana, weka matumizi ya 10000 leo na yalivyokua miezi mitano nyuma ili watu wane tofauti. Changanua kiuchumi ili watu waone ukweli huo, maana mimi naona kama haupo sahihiHaya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
Kwa mantiki iyo nakubali kwamba inaweza kuwa kubwa kwa kujibana na kujinyima,kama ulikuwa unashindia wali nyama sasa unakula wali maharage.Ila kwa uchumi kiujumla bado maisha yako juu,ukiichenji tu inakwisha.Hata sasa bado inakwisha haraka sana mkuu maana vitu havijapungua bei. Tofauti pekee na hapo nyuma ni kwamba sasa hivi watu wengi wamekuwa a bit more ''money conscious'' na wengi hawaspend kwenye matumizi ya ''hovyo''. Ndio maana unaona Elfu kumi yako haiishi haraka
Hapo unaongelea kimbele nyuma kwani mda huu inaisha haraka zaidiHaya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
Ndiyo maana yake hiyo chief,..kuna kamviringo fulani ka watu kalikuwa kanasubiri wakati wa mavuno tu....sasa wote tunaenda shamba ndiyo hao wanaolialia tu[emoji4]Mdau unamaanisha elfu kumi imekuwa shida sana kuipata... Na ukiipata unaitumia kwa heshima sana .. Uongo?
Umenikumbusha zama za kale zama za mawe !Siku hizi ukinywa bia unaonekana ni tajiri
Tunasubiri bei ya sukari ishuke iwe 1,800Sasa tufanyeje mkuu? tuvumilie hivyo hivyo au?