safi sana Mh. rais Jpm umerudisha heshima si tu kwa watumishi wa umma pekee bali hata kwa wananchi, umeleta mageuzi ya kuheshimu pesa na kupangilia matumizi kwa mtu mmoja mmoja, pesa sasa heshima yake imeanza kupanda,
you cant get money unless you work[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]
redundance kwenye michepuko zitaongezeka maana huwezi kusota kwenye shughuli zako ngumu na ukamanage kuhonga michepuko mitatu at once!!!
Shikamoo ngosha...hiki kipondo kimewapata kizani subiri mayowe na ndio kwanza yameanza.