Design Your Idea
Senior Member
- Jun 3, 2024
- 154
- 480
Nimekufa
Nakunywa Konyagi na kuchat JF.Unachezea simu?
Unacheza na mpenzi?
Unacheza na chupa pub?
Unacheza na fikra zako?
Unaangalia TV?
Unapiga stori?
Nachezea vuziπUnachezea simu?
Unacheza na mpenzi?
Unacheza na chupa pub?
Unacheza na fikra zako?
Unaangalia TV?
Unapiga stori?
Nataka ashushe viwiko,nyagi!Unachezea simu?
Unacheza na mpenzi?
Unacheza na chupa pub?
Unacheza na fikra zako?
Unaangalia TV?
Unapiga stori?
Inasikitisha sana!Nimekufa
We kabingwa ka kuchungulia pale!Nashindilia nyamaView attachment 3674166 hapa...
Hakika umebarikiwa ww na kizazi chako πNapiga puli
Subir ule ndo usepe, sio kusubiri sherehe kuisha ndo uondokeNapitia tu JF hapa niko kwenye sendoff tumemsindikiza mshkaji hapa naona kama naboreka tu, hzi habari hiz dah!! Nangoja tu time iishe
πππ nimecheka mpaka nimemekojoa chapili. Ngoja nilale kesho pia ni siku.Hakika umebarikiwa ww na kizazi chako π
umeanza lini hii tabia mkuuNashindilia nyamaView attachment 3674166 hapa...
Mm leo cjapiga nyeto, nasubir kesho mapema sana kanisani kwenye sala ya toba nirushe kimoja cha sikuπππ nimecheka mpaka nimemekojoa chapili. Ngoja nilale kesho pia ni siku.
Yan kwakua tuko na mshkaji hapa lazima mpaka sherehe iishe. Mimi sio mdau wa kula kula kwenye haya matukio hapa nilishajijia nimeshiba vizuuuuri , niko tu na box yangu kubwa ya juice nangoja matukio yaishe..Subir ule ndo usepe, sio kusubiri sherehe kuisha ndo uondoke