Sasa hivi saa nne na dakika 30 unafanya nini?

Wa bar utakuwa ww, kuna mambo mtu akiandika unajua n uongo tuu, ww endelea kuchat hapo mpaka utakapopitiwa na usingizi, hakikisha umeweka net iliyowekwa Dawa ya kuzuia malaria ๐Ÿ˜Ž

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ujue watu wanaweza kukuamini wewe wakaniacha mimi muhusika
 
Huna hata chembe ya uwezo huo

Ungenijua nilivyo kichaa regardless napitia nini akili ni ile ile ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sema najua unajua, kila mtu humu anajua how crazy nilivyo so karibu nilipo hapa

Kesho pia nitakuwepo hapa kama nilivyoahidi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Nipe location, kama n karibu nakuja sa h
 
Niko natazama TV tu hapa, huku naperuzi kwenye cm yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ