Sasa hivi saa nne na dakika 30 unafanya nini?

Nimepiga viwili, Kalala kifuani karibu na bega then Kalala kasahau mimi ni mto, maniina nmechoka ngj nmsukume huko, nperuzi vizuri JF ni mwendo wa kuhama jukwaa moja hadi jingine
 
Yan kwakua tuko na mshkaji hapa lazima mpaka sherehe iishe. Mimi sio mdau wa kula kula kwenye haya matukio hapa nilishajijia nimeshiba vizuuuuri , niko tu na box yangu kubwa ya juice nangoja matukio yaishe..
Mtungi ndiyo uliamua kuupiga chini πŸ˜‚ sema fresh komaa bi na tri mixer shoulder vikatike hivyo kula weight babaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…