Cybergates JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 697 Reaction score 1,474 Mar 7, 2017 #1 Tokea sakata la daudi lianze sio mtani sio shule kila mahali ukichangia mada watu hawataki kuelewa wanataka kuona vyeti kwanza huyu bwana mmoja ametuletea balaa huku mtaani
Tokea sakata la daudi lianze sio mtani sio shule kila mahali ukichangia mada watu hawataki kuelewa wanataka kuona vyeti kwanza huyu bwana mmoja ametuletea balaa huku mtaani
Bila shuka JF-Expert Member Joined Oct 14, 2014 Posts 596 Reaction score 294 Mar 7, 2017 #2 Wanatengeneza vyeti ili aoneshe
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,879 Reaction score 41,971 Mar 7, 2017 #3 Cc:faiza foxy unahitajika huku