Elections 2010 Sasa hivi vita ni kati ya Chenge na Samweli 6: vita ya JK na Dr.Slaa finish!

Elections 2010 Sasa hivi vita ni kati ya Chenge na Samweli 6: vita ya JK na Dr.Slaa finish!

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Tumesikia mengi sana kati ya JK na Dr.Slaa! sasa tusubiri tuone hii vita ya Chenge na Samweli sita itaishia wapi kuhusu kinyanganyiro cha kugombea Uspika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa TZ! Yetu macho.
 
Achana na Chenge HAVARD yake haimsaidi anafikiri USPIKA utafunika DHAMBI za RADA- akapumzike ale vijisenti vyake aachane kabisa na Bunge la 10 mapafu yake yameisha nguvu ya kupambana na wanaume kama akina LISU- ukweli ni kwamba CHENGE HAJIPENDI KATIKA HILI. LAKINI NISISEME MENGI INAWEZEKANA KATUMWA NA MKUU WA MAFISADI YOU NEVER KNOW WE CAN BE SUPRISED BY CHAMA CHA MAJAMBAZI
 
Tuwaachie wenyewe watayamaliza. Waarabu wa Pemba hao wanajuana kwa vilemba.
 
fitina tupu hizo haya bwana tuwachie ila chamoto watakiona wenyewe mana wataumbuana hadi basi
 
Vita vya nzige.......

NAKWAMBIA NDIBA WAPINZANI WAKAE MKAO WA KUWAZOA WAPIGANAJI WA UFISADI TOKA CCM IKIWA CHENGE, ANNA ABDALLAH AU MAKINDA MMOJA WAO AKIPITISHWA KUWA SPIKA:evil:
 
hakuna aliye msafi hata mmoja na ndio maana wanaigiza mwisho wa siku sitta atabaki na ataukumbatia ufisadi kama mwingine yeyote kutoka ccm atafanya akipata post hiyo!:doh:
 
Achana na Chenge HAVARD yake haimsaidi anafikiri USPIKA utafunika DHAMBI za RADA- akapumzike ale vijisenti vyake aachane kabisa na Bunge la 10 mapafu yake yameisha nguvu ya kupambana na wanaume kama akina LISU- ukweli ni kwamba CHENGE HAJIPENDI KATIKA HILI. LAKINI NISISEME MENGI INAWEZEKANA KATUMWA NA MKUU WA MAFISADI YOU NEVER KNOW WE CAN BE SUPRISED BY CHAMA CHA MAJAMBAZI

katumwa huyu we huoni hata style yake ya kuchukua form plus PCCB kumtangaza hana hatia ...hahaaa sio bure huyu
 
Back
Top Bottom