matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Wasabato wachungaji wana vichupa vya mafuta, na muongozo wao unawataka hivyo hasa kwa wagonjwa mahututi. Huwezi kuwasikia wanasema na Wasabato wengi hawajui kwa sababu hawana biasharisha na hutumia mara chache sana.
Walokole hawa ndio kwao. Kwa sababu kule kipaumbele ni sadaka yameungamanishwa na sadaka. Ila ambao hawajafanikiwa wanashambulia waliofanikiwa kwa sababu za wivu tu.
Wakatoriki wao maji ya upako wanqita ya Baraka. Ukeinde Ubungo Riverside ya Fadhq Nkwela ukitupiwa hayo maji kama unapepo lazima ugalegale kama kambare na litakutoka.
Wqislam hawa nimeshuhdia mwenyewe sheikh akigawa maji ya zamzam na watu kuanza kulipuka mapepo uwanjani. Kisha anashusha maboxi makubwa na kuuza vichupa kwa 2000tsh kila kimoja.
Maoni.
Nchi inamambo mengi, haya ya vifaa tiba vya kiroho tuyaache na tusiwaonee wivu yaliyowafanikisha. Tusiwaite matapeli maana watu wanaenda kwa hiyari, na hata wanakotoka yapo sema ni butu au hayajawezeshwa na nguvu za nuru au giza.
Ni hayo tu wakuu mbalimbali.
Mtumishi Matunduizi.